Huyo aliyelala dukani anaumwa nyonga?
Uzaa friji na friza hilo..sasa unauza vyote hayo mabox na mifuko tupu au?Asante mkuu nauza vyote kwa pamoja.
Hivi ukitoa hizo Friji unazan nikija na laki 4 ninunue kila kilichomo humo, itapungua, itatosha au itazidi hiyo laki 4??
Kuna 1.3m kwenye ilo duka kweli au macho yangu.Chukua laki 1 ya fridge mzee... Naona duka jeupe kabisa ilo
Tujibu swali hili basi. Mauzo yako kwa siku yalikuwa kiasi gani?Mauzo yako kwa siku yalikuwa kiasi gani?