Rahisi tu, achana na huyo aliyekucheat mchukue aliyekuzalia babygirl awe mkeo.Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna maelewano ndani. Sasa mbaya zaidi hivi asubuhi hii nimepokea simu toka kwa demu mmoja ambaye nilijivinjari nae last year mwezi april ka mara tatu hivi baada ya kutoka angaza kucheck ngoma, Sasa kuna wakati alinijulisha ana ujauzito mi nikadhani ananitania, leo ananiambia kajifunga baby girl, Duh! yaani ungefanikiwa kunicheck sasa hivi jinsi nilivyoloa jasho japo nipo kwenye A/C ungecheka,maana hata nikiongea nnamismis kama gari ilyokufa plug.
Demu wangu hajui chochote nna wasiwasi akijua itakuwa balaa na bado nna ` M i luv U` kinoma nifayeje Wakuu?
Lol! Hongera kidume kwa kupata babygal. Sasa kinachokutoa jasho ni kitu gani. Mwanaume lazima uwe stable ktk kila jambo linolokuhusu.
Kwanza huyo uliemfumania inaonekana sio mwaminifu. (akili kichwani, hapo sikushauri coz unaonekana umekufa na umeoza kwa huyo manzi, ndo maana naye anatumia hiyo weakness ku"betray").
Pili, hakikisha unatoa ushiriano wa kutosha kwa mzazi mwenzio, usije kuanza kusema, ooh mtoto sio wangu, sijui kimepanda kimeshuka. Ulivyosex nae kwani ulifikiri kule naniliu iliingia soda? Over!
Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna maelewano ndani. Sasa mbaya zaidi hivi asubuhi hii nimepokea simu toka kwa demu mmoja ambaye nilijivinjari nae last year mwezi april ka mara tatu hivi baada ya kutoka angaza kucheck ngoma, Sasa kuna wakati alinijulisha ana ujauzito mi nikadhani ananitania, leo ananiambia kajifunga baby girl, Duh! yaani ungefanikiwa kunicheck sasa hivi jinsi nilivyoloa jasho japo nipo kwenye A/C ungecheka,maana hata nikiongea nnamismis kama gari ilyokufa plug.
Demu wangu hajui chochote nna wasiwasi akijua itakuwa balaa na bado nna ` M i luv U` kinoma nifayeje Wakuu?