mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,434
- 5,535
Mkuu utakuwa hujala au hujashirikisha ubongo king'amuzi kiko within warranty time hakijaguswa kufunguliwa au kuchezewa chenyewe kimeharibika unataka nilipe nini?Kwa maelezo yako bado Sijauona huo wizi wa DSTV. Tekeleza ulichoambiwa tu, wape 30,000 upewe kingine. Na kama ni mwanao ndio alifanya uharibifu, wewe nunua tu kingine.
Kimeharibika nn? Inawezekana wewe ndo ulikiharibu.Wasalamu !! Nisipoteze muda ningie direct juu ya hii kampuni ya DstV hapa nchini mbali na madudu kibao wanayotufanyia wateja wao hili sasa ni la kitapeli.
Nilinunua king'amuzi chao hivi vipya nikapewa warranty ya mwaka mmoja
Kabla ya mwaka kuisha kimeharibika nilipowarudishia wakaanza ubabaishaji mara jina linaonyesha ni la mtu mwangine mara warranty yako imeisha nilipowapa documents nilizo nunua na kusaijili wakadai ohh tulikosea serial number.
Sasa wizi ni huu waliniambia niwape elfu 30,000/= ili wanipe kingine au ninunue kipya kwa 50,000/=
Nikawaambia king'amuzi changu kiko kwenye warranty kwa nini ninunue kipya au nilipie ela wakati ni haki yangu mnibadilishie kingine
Wakadai vyakubadilisha vimeisha nisubiri hadi vije ukiwauliza lini hawajui
Huu ni wizi wa wazi kwanini uwe na ving'muzi vya kuuza ila kubadilisha vimeisha
Dstv acheni wizi wa kijinga tubadilishieni ving'amuzi vyetu tena kwa wakati kwani hatukupewa promotion tulinunua tambueni values for money
Kinaonyesha error no 48 na kudisplya sms ya kuset dish wakati dish signal ziko full na nilipowarejeshea wametest wameona ni kibovu wamebaki nacho wakadai watanipa kingine vikijaKimeharibika nn? Inawezekana wewe ndo ulikiharibu.
Nunua canal decodal
Mimi nauza 120,000NISAIDIE,MI NAHITJI HIYO CANAL+,INAPATIKANA WAPI NA BEI GANI?, NIMEULIZIA MWANZA HAVIPO MKUU.
Wezi hawa TCRA sujui wanafanya niniNdio zao wanakuambia vya kubadilisha vimeisha mara vya kubadilisha ni tofauti na hivi vya kawaida... na ukiwapa hiyo 30 hawakupi risiti hata startimes