Dstv hainashida labda makeke yako mkuuMkuu mi nnaishi dochi uku mpakani karib na kongo
Nadhani umeingia dstv kwa kasi ya 8G.Nilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione huduma zao.leo tar 14.02.2018 wamesitiasha huduma wakaniachia chanel maoja tu no 100 dish. Nimetumia vocha zaid ya sh 5000 nikiongea na huduma kwa wateja wakaniambia niongeze elf 16500 ili niweze kuendelea na kifurushi sha family nikaona sio kesi nikalipia mpaka sasa hiv hamna kitu nikipiga tatal ya fedha nilizolipia ni 55500 na dikoda yao haioneshi kitu zaid ya chanel moja tu.
Kuweni makini wadau awa watu sio wema hata kidogo nikipiga simu kila muhudumu ananiambia la kwake
Nilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione huduma zao.leo tar 14.02.2018 wamesitiasha huduma wakaniachia chanel maoja tu no 100 dish. Nimetumia vocha zaid ya sh 5000 nikiongea na huduma kwa wateja wakaniambia niongeze elf 16500 ili niweze kuendelea na kifurushi sha family nikaona sio kesi nikalipia mpaka sasa hiv hamna kitu nikipiga tatal ya fedha nilizolipia ni 55500 na dikoda yao haioneshi kitu zaid ya chanel moja tu.
Kuweni makini wadau awa watu sio wema hata kidogo nikipiga simu kila muhudumu ananiambia la kwake
mimi na miaka natumia dstv iko vzr sana na hudumazao hazilinganishwi na yoyoteNilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione huduma zao.leo tar 14.02.2018 wamesitiasha huduma wakaniachia chanel maoja tu no 100 dish. Nimetumia vocha zaid ya sh 5000 nikiongea na huduma kwa wateja wakaniambia niongeze elf 16500 ili niweze kuendelea na kifurushi sha family nikaona sio kesi nikalipia mpaka sasa hiv hamna kitu nikipiga tatal ya fedha nilizolipia ni 55500 na dikoda yao haioneshi kitu zaid ya chanel moja tu.
Kuweni makini wadau awa watu sio wema hata kidogo nikipiga simu kila muhudumu ananiambia la kwake
Nilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione huduma zao.leo tar 14.02.2018 wamesitiasha huduma wakaniachia chanel maoja tu no 100 dish. Nimetumia vocha zaid ya sh 5000 nikiongea na huduma kwa wateja wakaniambia niongeze elf 16500 ili niweze kuendelea na kifurushi sha family nikaona sio kesi nikalipia mpaka sasa hiv hamna kitu nikipiga tatal ya fedha nilizolipia ni 55500 na dikoda yao haioneshi kitu zaid ya chanel moja tu.
Kuweni makini wadau awa watu sio wema hata kidogo nikipiga simu kila muhudumu ananiambia la kwake
Nakubaliana na wewe mkuu, kwenye customer care DSTV wako vizuri sanadstv gani unayotumia ww mdau... wenzako mbona mwaka wa 9 huu na hakuna tatizo kama hilo na hakuna watu ambao customer care yao ipo vizur kama dstv....
Nilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifurushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione huduma zao. Leo tar 14.02.2018 wamesitisha huduma wakaniachia channel moja tu no 100 dish.
Nimetumia vocha zaid ya sh 5000 nikiongea na huduma kwa wateja wakaniambia niongeze elf 16500 ili niweze kuendelea na kifurushi cha family nikaona sio kesi nikalipia mpaka sasa hiv hamna kitu nikipiga total ya fedha nilizolipia ni 55500 na dikoda yao haioneshi kitu zaid ya channel moja tu.
Kuweni makini wadau hawa watu sio wema hata kidogo nikipiga simu kila muhudumu ananiambia la kwake
mtafute fundi awasiliane nao
Harudi tena maana inaelekea alilipia huduma king'amuzi kimezima, kwa kuwa alikuja kwa gear ya kuwalaumu DSTV na amekutana na majibu ya kumpinga hivyo ameuchukua ushari kimya kimya na kuufanyia kaziMkuu umepotelea wapi... Hivi ulipata suluhu