Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

Wenye dread tunaovaa miwani ya macho ndio tunasifiwa tujipigie makofi, au wanaovaa ya jua?😃🤔🙈🤸‍♀️
 
Hivi kisogo ndio sura siku hizi?
 
Kutunza usafi wake n shughuli[emoji3]nawashauri tu wasiweke dread
Kweli shughuli na ukitaka ziwe safi ni mateso fulani kwakweli. Mfano kuna ile weekend unajisikia kukaa home tu. Ila ukiwaza usipoenda salon ukitokea tu job uko kama kichaa..basi inakubidi tu uende😀🙈
 
Ni nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu

Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
Issue ni nani anazifanyia lock, huyo ndio mchawi wa yote. Dread hasa za mbele haziitaji kubanwa sana wakati wakuzi lock.

Mimi kama mdada hana dread natural basi awe na low cut tofauti na hapo kanipita kushoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…