Dr. Slaa alitamka kumleta Lowassa CDM ilikuwa sawa na kuchota kinyesi chooni na kukilteta Sebureni. Maana ni kwamba CCM ni Kinyesi Kikuu Chooni na Lowassa ni Kinyesi kwenye ndoo.
Sasa kwa mantiki hiyo atakiuka matamshi yake? Kumbuka jamaa ni mtumishi wa Mungu.