Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,763
- 50,234
Kama wanaweza kukaa na kina Wasira na Kaborou hata huyo watakaa naye! Keshakuwa mwenzao dhidi ya CHADEMA na UKAWA!CCM wanaujua udhaifu wa Slaa tayari! Kama aliweza kununulika na wao unadhani watamuamini?
Kijana acha bangi!,kwanini unakaa tu nakuamua kuandika kitu kisicho na mantiki hata kidogo?Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.
Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendena na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.
Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.
Sasa ulitakiwa uwe na habari tofauti na hii na yenye uhakika.Fikiria kisha acha ujinga
Ndivyo na wenzako wanavyofikiri na sielewi ni kwa nini mnawaza kwamba CHADEMA watajinyonga!!Slaa akiwa katibu mkuu wa ccm nadhani Chadema watajinyoga na itakuwa tamu kweli!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani uhoji ujinga wako then nifanye kazi ya kukupa uhakika?Sasa ulitakiwa uwe na habari tofauti na hii na yenye uhakika.
Kijana acha bangi!,kwanini unakaa tu nakuamua kuandika kitu kisicho na mantiki hata kidogo?
Kwanini hufikirii hata kidogo tu kabla hujaandika kitu,?
Unadhani humu kuna watu wenye akili ndogo kiasi gani kiasi cha wewe kuandika utumbo wako ukadhani utawapata malofa?
Fikiria kisha acha ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mengine hayana tija kwenye mjadala huu bali wewe lete hoja tofauti badala ya kutumia hoja yangu kunishambulia kibnafsi. Wewe unadhani mimi "Verified user" naweza kuleta tetesi zisizokuwa na mashiko? Kwa taarifa yako neno "Tetesi" Jf limewekwa kwa ajili ya kinga ya kushitakiwa kisheria. Hata kama hayo majadiliano yapo CCM wanaweza kusema hayapo wakati yapo ama wanaweza kuyavunja kwa kujua siri zimevuja na kusema hayajawahi kuwepo!Yaani uhoji ujinga wako then nifanye kazi ya kukupa uhakika?
Naisubiri hiyo "Debut" kwa hamu.Kuna tetesi kwamba kuna majadiliano yanaendelea kati ya marafiki wa Slaa walioko CCM na Slaa kuhusu uwezekano wa mwanasiasa huyo kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana kumaliza muda wake.
Marafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao. Pia inadhaniwa kuwepo kwa Slaa kutakuwa ni mwiba mkali sana kwa chama chake cha zamani CHADEMA.
Slaa alikuwa ni mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA mwaka 1995 kutokana na kutopewa nafasi ya kugombea Ubunge jimbo la Karatu kupitia CCM. Kuna wakati CCM walidai kuwa Slaa alikuwa bado analipia kadi yake na Slaa mwenyewe alikiri kwamba kadi yake ya CCM bado anayo.
Hapana hii habari ina ukweli fulani ila ya Lowassa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ni dhana inayojengwa na CCM kwa lengo la kuleta mkanganyiko wa fikra kwa watu walio mbali na duru za uongozi wa ndani wa CHADEMA!hii unataka kupunguza makali ya Uzi EL kuwa Mwenyekiti cdm
leo Slaa katibu ccm
ufipa vs lumumba
Wote ni wa-RC??? Swali chokonoziMarafiki hao ndani ya CCM wanadai kwamba "Style" ya Mwenyekiti wao John Pombe Magufuli inaendana na Slaa na wanaamini kwamba wawili hao watakiimarisha sana chama chao.