Tusaidiane hapa......
.
Imetokea biharamulo ambako alikuwa anaendelea na kampeni zake akapata taarifa za msiba wa mwl.wake aliyemfundisha hatimaye akaamua kwenda kushiriki akiwa na baadhi ya makada wa chama waliovalia sare za chama.
Wanasheria na wataalamu wa masuala ya uchaguzi jongeeni mtoe ufafanuzi kwa raia ,maana hili limeleta mkanganyiko wa kisiasa kwa jamii.
"tutambue msiba ni shughuli ya kijamii ambayo hujumuisha watu wa kada tofautitofauti walio na vyama na wasio na vyama"
je,hili halileti ubaguzi na mgawanyiko ndani ya jamii?