Huyu ndio vampire sasa sijui anakulaga nini?? Anaitafuta 70 jamaaOngezea View attachment 2580330
Na huyuuu sijui wanatumia nin hawa watu
Nashangaa sana au wanafanya surgery?Huyu ndio vampire sasa sijui anakulaga nini?? Anaitafuta 70 jamaa
Mimi nahisi ni maumbile ya mtu tu. Mimi mwenyewe muonekano wangu na umri wangu haviendani yaani hadi aibu...
Jack Chan na Yuan Biao hawa rika moja, ila Samo Hung ni rika la aina Sylvester Stallone, Anold Schwarzenegger, Stephen Cheung nk. Jet lee ni rika sawa Donnie au Jack Ma ila yeye malazi yake yamemchokeshaDaah hata mi nilikuwa najiuliza huyu jamaa hazeeki ukilinganisha na wenzake akina Yuen Biao , Jackie Chan , Samo hung, hata Jetli anaonekana age imeenda ila mwamba still yupo imara sana , spendi movie zake za mapanga , visu na mafarasi napenda zile za town na mafia a.k a drug dealer akiwa kama afisa upelelezi utapenda , alafu viwemo vyuma vya kutosha
Jack chan sio agemate wa Donnie wala Jet lee. Jack kaanza kuigiza 70s na Bruce ila akina Jetlee wamekuja miaka 80katikati. Leo jack katimiza 69yr wakati donie mwezi wa 7 anatimiza 60.Huyu jamaa hata mwenyewe ananiacha sana njia panda
Ukicheki umri wake halafu ukaangalia na age mate wenzake kina Jet li na Jack Chan unaona kabisa jamaa ni kama immortal
Jack Chan na Yuan Biao hawa rika moja, ila Samo Hung ni rika la aina Sylvester Stallone, Anold Schwarzenegger, Stephen Cheung nk. Jet lee ni rika sawa Donnie au Jack Ma ila yeye malazi yake yamemchokesha
nimemchek kwenye top Gun Maverick mwamba bado mzima kabisa😃Ongezea View attachment 2580330
Na huyuuu sijui wanatumia nin hawa watu
pia mwamba ni master of kungfu in real lifeJack chan sio agemate wa Donnie wala Jet lee. Jack kaanza kuigiza 70s na Bruce ila akina Jetlee wamekuja miaka 80katikati. Leo jack katimiza 69yr wakati donie mwezi wa 7 anatimiza 60.
Mazoezi na kutokua na maradhi + maumbile tu ya mwili wake yamembeba kua hivyo.
Kwenye the big boss jamaa anakimbia upepo ukasome😁😁😁😁pia mwamba ni master of kungfu in real life
Kuna kitu inaitwa Millionaire Express, Wheel in Meals, Project A ni nomasana. Ila Sammo Hung ni director mzuri sana huwezi amaini ndio aliandaa kitu cha Estern Condors. Nataka siku moja nikusanye muvi zao zote maana KIX hua zinaonyeshwa mara chacheView attachment 2580342
Hii Combination ilikuwaga fire sana, sidhani kama China/Hong kong itashuhudia kizazi bora cha martial art kama hiki