Ok...then nitaanza kulipa kiasi gani.?Bei 10,000/
Kuilink na blog itagarimu kiasi gani?Kama ni domain bei ni buku10 kwa mwaka
Nifafanulie kuhusu hosting...please.Hosting ni buku 5 kwa mwezi
HAYA BASI IWE MZIGUAHALISI.COM....SOI HARISI...mbona usichukue mziguaharisi.com
mzigua harisi enh kweli ubarikiwe sana ndugu..na hii ndio faida ya mitandao..popote ulipo unaweza kusaidiwa.Tatar IPO hewani domain yako