OkNicheki hapa tufanye biashara Mkuu doctor@blader.com au hapa Matisu@cash4u.com
Yani nahitaji kuwa na website ambayo watu watakuwa na uwezo wa kulog in...ila kwenye ku sign up...kuwe kuna option ya kulipia.Sijakuelewa hapo mkuu.. Njoo PM tuyajenge
hii offer bado ipo kwa mwaka huu wa 2019 jamani???? au imenipitaKwa wale wanaohitaji .co.tz bei ya offer ni 23,000/= kwa mwaka. Unapata na free email ya biashara (info@biasharayako.co.tz)