Elections 2010 Do we have other opposition parties other than chadema?

papaa elly

Member
Nov 2, 2010
7
1
unajua bw, ka swali la kizushi vile, ila ni kwamba vyama vingine vya upinzaini vimepoa sana, kama wanasapot ccccccm vile, kwa mfano jana, Mr. ssseeef kule zenji was so happy shein alvoshinda and give hm a lot of comliments....wakati alikua anawaponda sana, au ni koz ana uhakika wa nafasi? au kipindi kile mrema anawamwagia ccm sifa kedede.....etc
 

Wewe unapenda shari, hakuwa na uwezo wa kubadili matokeo; kama ulimwangalia sana ile tabasamu ilikuwa ya kulazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…