Dk. Slaa aacha ombwe CHADEMA

hatuna eagle asiyeweza kufikiri kama wewe!!
 
Mbowe kadharau sana sie tulioshiriki pamoja kukijenga chama, Dr. Slaa ndo mbunge wa kwanza lakini leo wanamwona pwoyoyo, huu ni uchizi
 

Raian mwema au Raia Fema? Mbona habar znu kama za shigongo?
 

I am confused.........
 

kukumbuka umbea labda uwe mmbea..
 
JIWE WALILOLIKATAA WAASHI LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI mtake msitake ndo atakuwa raisi wenu Edward sokoine samahani Edward lowassa bana na slaa bado yupoyupo kwanza chadema labda mwakani anaweza fikiria kuhama chama
 
Nashindwa kuamini kama hii umepost wewe....! Pamoja na kuwa una mzio na CHADEMA but this is too low for you East African Eagle

watu bwana. Yaani kisa ameongea kitu ambacho kipo tofauti kimtazamo na wewe unaanza kumshambulia. Jenga hoja kuonyesha kuna udhaifu katika anachokisema badala ya kumshambulia yeye kama yeye.
 
uzushu, na watoto, wazee, vijana wa dar wote wanafanan akili,. zilezile za kanga mocko, umbea mtupu
 

Nje ya CHADEMA Dr. Slaa is as weak as Mr. Dhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…