miziki laini ni ipi?Naamini wana JF mtakubaliana na mimi katika hili, hawa DJ wa redio free Africa sijui hawajasomea mpangilio wa burudani au ni jeuri tu, yaani utasikia usiku saa 4 na kuendelea muda ambao walio wengi tumepumzika, zinapigwa ndombolo, kwasa kwasa nk badala ya kupiga miziki raini wao wanavanga vanga tu, upuuzi mtupu
Nawashauri wajifunze kupitia redio nyingine nyingi, au Mh Diallo wapige msasa kidogo vijana wako.
Labda anataka zile zamani tulikuwa twaiita BLUES(mambo ya Zero Distance) akiwa amelala na shori/wife,mambo ya Chombeza time,lolmiziki laini ni ipi?
Naamini wana JF mtakubaliana na mimi katika hili, hawa DJ wa redio free Africa sijui hawajasomea mpangilio wa burudani au ni jeuri tu, yaani utasikia usiku saa 4 na kuendelea muda ambao walio wengi tumepumzika, zinapigwa ndombolo, kwasa kwasa nk badala ya kupiga miziki raini wao wanavanga vanga tu, upuuzi mtupu
Nawashauri wajifunze kupitia redio nyingine nyingi, au Mh Diallo wapige msasa kidogo vijana wako.
Nawashukuru wana JF kwa maoni yenu, nimejifunza kitu, kuwa wale sela yao ni hakuna kulala,
Hivyo basi ni redio ya machangudoa, majambazi, maana askari hawawezi kuisikiliza badala yake wana redio calls.
All in all nawashukuruni sana
Mkuu uliyosema hapa tuko pamoja, hata hivyo kwani ndhombolo au kwasakwasa zinatakiwa kupigwa muda gani kama si usiku. Kuna wengine muda huo ukifika wanaondoa kwenye redio zao ama cassette, cd,dvd,mp3,santuri, nk na kuendelea kula mangoma ya RFA bila wasiwasi. Ikumbukwe pia maeneo mengi inakosikika hayana umeme kinachotumika ni betri za kawaida, ukipiga kanda moja betri kwishnei, unaenda dukani tena kununua betri nyingine, lakini kwa redio, unatune tu RFA disco linaendelea kama kawa, hamna noma wala nini!Mkuu naona unafika mbali huko sasa.Ina maana wewe unataka wapige nyimbo laini kwa kuwa radio nyingi zinafanya hivyo? ni utaratibu wao tu walio jipangia,kama unaona wanakuboa usisikilize radio yao.