dizaini mbalimbali

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
dactari alikuwa anamuandaa mgonjwa,ili amng'oe jino,hivyo akawa anajaribu kumpa story za hapa na pale kama kumtoa wasiwasi
daktari''unajua jinsi gloves zinavyotengenezwa?''
mgonjwa''hapana''
dactari''huwa wanachukuliwa watu wenye viganja vya saiz mbalimbali,wanapakwa materia ya raba iliyo kama ujiuji,kisha wanawekwa juani,ikikauka wanavulishwa,then tayari unapata gloves''
mgonjwa''kwi kwi kwi,tehe tehe tehe aha ha haaaaaaaaaaaa''
dactari''unacheka nini?''
mgonjwa''nafikiria condoms zinavyotengenezwa''
 
Ha ha haaaa....mmenivunjia kiapo changu,leo nilipanga kununa siku nzima!
 
Mkuu sio groves wala grooves bwana ni gloves...Ila thanks umenifanya nicheke!
 

Jino liling'olewa au stori ziliendelea hadi muda wa kazi ukaisha?
 

Inafurahisha nimecheka kidogo
 
hahahahahahahaha! Uwe na j2 njema cz u made my day!
 
Ehehehe embu ngoja nikande mbavu zangu kwanza ntarudi
 
Hahahahahahahah lol
labda wanatumia process hiyo hiyo lol..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…