Kuna dogo ana iv ya 29,
kiswahili C,
English D,
Geography D,
Civics F
Biology D,
History D,
Chemistry F,
Physics F,
Maths F,
Naomba kuuliza kwa ufaulu huo anaweza somea coz gan? Yenye masirahi
Kuna dogo ana iv ya 29,
kiswahili C,
English D,
Geography D,
Civics F
Biology D,
History D,
Chemistry F,
Physics F,
Maths F,
Naomba kuuliza kwa ufaulu huo anaweza somea coz gan? Yenye masirahi
Kwanini usimlete advance kwa kupitia special need programs. Am sure itamsaidia, maana wapo wenzake wengi kama yeye wamepita kwa njia hiyo na sasa wapo vyuoni, na wengine kama yeye wa mwaka huu ninao hapa. Kama upo tayari, naomba unichek pm, ili nikupe maelezo vizuri ili tuweze kumsaidia kijana katika njia nzuri zaidi, kuliko hivyo kumkimbizia chuo.