Kaka angu alimaliza form four akapata div one ya point 17,hakwenda A level akaenda kusoma DIT electrical engineering ameua Diploma mwaka juzi na sahv anafanxa kazi Mtwara kwenye kampuni moja ya Gas.Analipwa mshahara mzuri na safari nyingi za nje kikazi na bado hajaenda kusoma degree
nadhan hapo umenielewa
.A level pia ni nzuri ila ukifaulu, ukifeli huko hautakuwa na tofaut na yule aliyemaliza form four.
Manake utaanza diploma badala ya degree kwahyo muda wako utakuwa umeupoteza buree.
DIT ni mahala pazuri sana ambapo ukisoma ukatoka hautajutia.
overrr..