asante kwa ushauri wako mkuu, ila mimi nina uhakika ni kioo, coz hata hapa ndiyo hii hii ninayoitumia kupostia isipokuwa natumia external monitor, najua sana tatizo la GPU kwa dv series, na huwa mimi najua kutatua hilo. na tatizo huja pale unapojaribu kuforce windows 7 wakati motherboad imedizainiwa kutumia windows vista, ikinachofanyika mashine inakuwa ina over heat mpaka ile chipset ya graphic inakua inaachia. so niko sure hapa nahitaji kioo