Disco vumbi

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
dah katika vitu ambavyo sitoweza kuvisahau maishani mwangu ni kituko kimoja nilichowahi kukifanya kwenye ukumbi wa disco bahi dodoma miaka ya 1990s.siku hiyo nakumbuka nilienda disco lilokuwa likipigwa siku ya sikukuu ya krismas kiubabe ubabe na huku nikiwa sina hata shiling mfukon,basi nilivyofika pale mlangon nilikuwa nataka kuingia mara jamaa wakanidaka nikalazimisha lakin wakanizuia na kuanza kunipiga.aise ndugu zangu walinipiga na nikapigika kwel.nikasema sawa ngojeni nirud nyumban na nikija lazima mmalize muziki.basi nilirudi nyumban nikaenda twanga pilipili za kutosha kwenye kinu mpaka zikawa kama unga,then nikachukua ule unga wa pili nikaweka kwenye mfuko na kwenda nao disco.inaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…