Ahahaha bro kama inavuka laki 5 hii DSE aliomba ya nin?? Mshahara hauvuk laki 4 na bado makato hapo?? Na unadhan kuna tofaut na loan officer?? Kuzunguka kutafuta wateja na kuweza kumaintain account zao angalau kuwa na balance sio jambo dogo kuna jamaa niliongea nae unajikuta 2months zinakata huna mteja wa maana....
Pia what if mwaka umeisha na wakaterminate contract yake hata hiyo loan officer ataikumbuka aiseee...kazi mbaya ni ukiwa nayo daima
Kuna nafasi zimetoka wamepost humu nmb kwa bachelor haziitaji experience deadline bado isake inafanana kidogo na hiyo.......nilikuwa mmoja wao nafuatilia pia nilifanya hizo interview zote 2 ila walishaitwa mim nilikosa pia