Kwa matokea haya kidato cha nne mwaka jana aweza kusoma diploma ya pharmacy?Physics-D,Chemistry-D,Biology-C,Basic Mathematics-B plus,History/kiswahili-C,Geography/English/Civics-D
nimemaliza form four mwaka 2006 na nina c flat kwenye masomo yote,je naweza kua nimetimiza vigezo vya kuchaguliwa kusoma pharmacy?chuo gani ni kizuri kwa course hii? na gharama za ada inakuaje? naomba msaada wakuu
Private institutions hawana shida na mwaka uliomaliza but serikalini wanalimit ya muda.....ada ni zaidi ya milioni tatu mfano kcmc(kilimanjaro school of medicine) ni 3.92M per year. Asante BJ.Sahani kwa ushauri,nimefuatilia vyuo kadhaa wanasisitiza C tatu.........
Pharmacy inaundwa kwa kiasi kikubwa na biology na chemistry.
Kama hujasoma biology huna msingi wa kusoma kozi muhimu kama Pharmacology,Pharmacognosy etc
Hicho ki2 hakipo mkuu yaan sio pharmacy sio clinical medicine vyote lazima uwe na Phyz/engineering science D biology & chemistry C hapo ndo unapata diploma
Hicho ki2 hakipo mkuu yaan sio pharmacy sio clinical medicine vyote lazima uwe na Phyz/engineering science D biology & chemistry C hapo ndo unapata diploma