Diploma third round

usichanganye mambo awamu ya tatu hapo Ni kwa ngazi ya cheti na stashahada
kwa degree Bado awamu ya pili haijatoka

shukrani, hawa wa awamu ya pili diploma walishatoa au ndo wanasubiria awamu ya tatu itangazwe ndio watoe majina ya awamu ya pili
 
na akiingia kwenye mfumo alafu anakuta imeandikwa "Pending comfirmaton from institution" anatakiwa afanye nn?
hapo system umeshafanya ushakuwa selection kati ya chuo kimoja wapo ulicho omba kinacho subiriwa ni chuo husika kuidhinisha uwepo wako
Ndio maana kuna Baadhi ya vyuo vimeshatoa majina but TCU BADO
 
hapo system umeshafanya ushakuwa selection kati ya chuo kimoja wapo ulicho omba kinacho subiriwa ni chuo husika kuidhinisha uwepo wako
Ndio maana kuna Baadhi ya vyuo vimeshatoa majina but TCU BADO

meomba kupitia nacte, sasa nitajuaje ni chuo gani maana system haisemi chuo kinachotakiwa kifanye comfirmation?
 
meomba kupitia nacte, sasa nitajuaje ni chuo gani maana system haisemi chuo kinachotakiwa kifanye comfirmation?
kama wewe ni diploma holder utapewa taarifa sahihi kupitia Profile yako kama ilivyokuwa kipindi cha diploma
kuwa mvumilivu
Mtapewa taarifa baada ya selection zenu kuwa tayari
 
kama wewe ni diploma holder utapewa taarifa sahihi kupitia Profile yako kama ilivyokuwa kipindi cha diploma
kuwa mvumilivu
Mtapewa taarifa baada ya selection zenu kuwa tayari
Aise naona unasema as if uko na uhakika tosga kama unao sema tu exactly tar watu wajue usije ukawa unapoza watu jwa taaarifa za kusadikika
 
Kuna watu wanajibu as if Hao ni nacte au tcu, cjui ni kutupa moyo au kuturizisha nafikir katika swala la nacte na tcu tuwe siriaz hatutak utan kwenye hilo mana tunasota kwenye mitandao huku toka asubh kila kukicha anayejua ukweli atujulishe na c kupeana moyo wakat taarifa haina ukweli
 
Yaani watu wa hivo wanaudhi kweli,haya mtu anasema diploma kwenda degree et wasubiri second round kama ye ni mtu wa Nacte inamaana ajui kua hata first round bado?

Sent from mTalk
 
hapo system umeshafanya ushakuwa selection kati ya chuo kimoja wapo ulicho omba kinacho subiriwa ni chuo husika kuidhinisha uwepo wako
Ndio maana kuna Baadhi ya vyuo vimeshatoa majina but TCU BADO
Kunawatu tumeomba second round diploma na matikeo bado hatujapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…