Diploma holder mjiandae

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
204
Habari wakuu
Chuo cha maji kimetoa majina ya diploma holder na form 6 kwa pamoja first batch, hvyo tusubri kidogo na tuamin kwamba hatujatengwa
Asanteni
 
Duu Hao diploma holder waje bas huku watupe moyo na cye kua waliomba huo mwez wa Tatu au inakuwaje
 
Kuweni na imani,,,mambo yatakuwa mazuri muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…