Simba ii ya kumsajili Max? Simba ya MO sasa hivi lengo lao kubwa ni kumng'oa Mangungu kwenye uongozi. Wako tayari Simba ifungwe goli 10 watafurahi ikia ndiyo suluhisho la kumwondoa Mangungu. Hawana uchungu walaa huzuni kufungwa magoli mengi. Ndio maana makocha wote Simba walioo ngea nao MO alikataa kujifunga kuwa atawalipa mshahara. Halafu leo wanaokuja hao hao kusema eti Simba inataka kumsajili Max. Kina MO wafahamu wanaweza kuwadanganya wanasimba wote kwa kipindi kidogo tu lakini itafika muda wanasimba watamshtukia na watafanya ya kwaoSimba wamefanya jaribio zito la kutaka kumng’oa juu kwa juu kiungo wa Yanga Mkongomani, Maxi Nzengeli ambaye alipiga mabao mawili dhidi ya Simba kwenye ushindi wa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara hivi karibuni.
Simba wamepiga simu kwa klabu ya zamani ya Nzengeli ya Union Maniema ya DR Congo na kumwaga ofa nzito wakijua kwamba huenda kiungo huyo yuko jangwani kwa mkopo kama ilivyowahi kuzushwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya wachambuzi.
Hata hivyo, Mwanaspoti linajua Simba wamejibiwa kwamba Nzengeli ni mali halali ya Yanga na kwamba kama kuna hatua za kumuuza licha ya Maniema watapata mgao wao lakini watu wa kwanza watakaosimamia biashara hiyo ni watani Jangwani ambapo hawakuridhika wakaingia mfukoni na kutoa ahadi nzito kwamba mabosi hao wa Maniema basi walianzishe kwa kutaka kumchomoa kisha wao watamwaga fedha za kufuru mara mbili ya zile ambazo Yanga walilipa.
View attachment 2822835
si kama simba na sakho au we upo sayari gani hujui hizo mambo???Eti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Hivi unajua ulichokiandika? Au Aden rage ajengewe Sanamu lake?Eti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Hatari sanaSimba ii ya kumsajili Max? Simba ya MO sasa hivi lengo lao kubwa ni kumng'oa Mangungu kwenye uongozi. Wako tayari Simba ifungwe goli 10 watafurahi ikia ndiyo suluhisho la kumwondoa Mangungu. Hawana uchungu walaa huzuni kufungwa magoli mengi. Ndio maana makocha wote Simba walioo ngea nao MO alikataa kujifunga kuwa atawalipa mshahara. Halafu leo wanaokuja hao hao kusema eti Simba inataka kumsajili Max. Kina MO wafahamu wanaweza kuwadanganya wanasimba wote kwa kipindi kidogo tu lakini itafika muda wanasimba watamshtukia na watafanya ya kwao
Iyo mbona ipo. Mnauza mchezaji halafu kuna kipengere endapo akiuzwa mtapata asilimia kadhaa za mauzo.Eti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Kwa kwwli Rage apewe PhD ya heshimaUko dunia ya wapi ndugu!! Mbona haya mambo yapo duniani kote!!!
Eti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
Ni afadhali ufunge domo lako kila mtu akushuku ni bwege kuliko kufungua domo lako na kimthibitishia kila mtu.
Jiulize kwann simba kafungiwa usajiri na CAF utaata majibuEti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Ni afadhali ufunge domo lako Kila mtu adhani wewe ni bwege kuliko kufungua domo lako na kumthibitishia kila mtu!Eti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
AahaaaaaaaWewe ndio kihande kabisa
Unajua kwanini Simba imefungiwa usajili?
Ili usije kudelete hizi pumba ulizoandika nimekuquote kabisa hapa huchomoki hata ukidelete original post.Eti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Kuna watu walisema ...Yanga wameleta wacongo kwaajili ya dance[emoji23]Wale wachezaji wa yanga wapo pale Kama familia na hapo apongezwe Injinia jinsi alivyotengeneza huo muunganiko .
Kuna maelewano makubwa kati ya wachezaji, viongozi , mfadhili na zaidi Mpaka familia za wachezaji na timu walikotoka kuna mawasiliano na Viongozi .
Matokeo ya kejeli ni kilio .Kuna watu walisema ...Yanga wameleta wacongo kwaajili ya dance[emoji23]