NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,004
- 21,311
Siku wakitolewa usibadili kauli zakoDiego simeone anafundisha mpira ambao yeye aliucheza,kukaba mwanzo mwisho,nguvu,akili na kutokufanya makosa ya kuigarimu timu,
Ata aina ya wachezaji anawasajili ni wale watakao weza kumudu fomula yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nikibadili ntatumia ufundi sana kubadili maneno yangu mpaka utakubali.Siku wakitolewa usibadili kauli zako
Kwahyo anatufaa MUFC?Diego simeone anafundisha mpira ambao yeye aliucheza,kukaba mwanzo mwisho,nguvu,akili na kutokufanya makosa ya kuigarimu timu,
Ata aina ya wachezaji anawasajili ni wale watakao weza kumudu fomula yake
Sent using Jamii Forums mobile app
JidanganyeHata nikibadili ntatumia ufundi sana kubadili maneno yangu mpaka utakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliipiga timu yako pendwa nini?....LiVARpool labda alitegemea na huko Spain atabebwe na VAR kama alivyozowea kubebwa na VAR kwenye EPL.
Diego simeone anafundisha mpira ambao yeye aliucheza,kukaba mwanzo mwisho,nguvu,akili na kutokufanya makosa ya kuigarimu timu,
Ata aina ya wachezaji anawasajili ni wale watakao weza kumudu fomula yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Philosophy zao ni ladha ya mpira, sema mda wote roho mkononi!Kuna wapumbavu bado hawaamini philosophy ya Diego au Mourinho, bila mitanange kama hiyo soka litapoteza mvuto sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa imemuingia vizuriLiVARpool labda alitegemea na huko Spain atabebwe na VAR kama alivyozowea kubebwa na VAR kwenye EPL.