hata mimi nimemshangaa sana jamaa, ila haya mambo ndo yanafanya dunia iendeNawewe kwa ujinga wako ukalipia kifurushi ili umuangalie Tiffa? Si bora umuangalie mwanao hapo nyumbani
hahahahahaaaaaNawewe kwa ujinga wako ukalipia kifurushi ili umuangalie Tiffa? Si bora umuangalie mwanao hapo nyumbani
Ha ha ha soma,elewa kwanza,azam na star times kuna channel nyingi zaidi ya Wasafi Tv,so nawatch channel nyingine zaidi ya hiyo!!Nawewe kwa ujinga wako ukalipia kifurushi ili umuangalie Tiffa? Si bora umuangalie mwanao hapo nyumbani
We ni KE au ME, status yako pia: Umeoa/olewa, au Mjane/Umeachika, au SingoMwishini mwa mwezi wa saba,dunia kama sio Tanzania,tulipata ujumbe kutoka kwa Diamond kwamba kutakua na Birthday party ya mwanae Latifa huko bondeni kwa Madiba!! Party itakua live kupitia channel ya Wasafi tv,bila kupoteza muda haraka nikalipa kifurushi cha miezi mitano,ili nifaidi uhondo!!
Pia akaja na wako kwamba atalipia watoto 30,gharama za kwenda kula bata la nguvu na mtoto mwenzao Latifa,nikasema kumbe mambo ni vipi moto!! Pia tukaambiwa kuna baadhi ya wasanii kama Madame Sepenga na Aunty Ezekiel watapata offer ya kwenda bondeni kwa gharama za Diamond!!
Sasa nauliza mbona kimya sana?? Sijaona picha za Sepenga na Aunty Ezekiel wakiwa bondeni,sijaona, watoto wakipewa tiketi za ndege za kwenda bondeni,au hii kitu ilifanyika kimya kimya??
Bado najiuliza kwa nini unapenda kutoa taarifa mapema,halafu inakuja onekana ni mtu uongo?? Bado tunafikiria fix yako ya kwenda kuimba wimbo maalum wa Welidi kapu,napo ulitupiga kamba!! Badilika punguza stunt utakuja kwama!!
"bila kupoteza muda haraka nikalipa kifurushi cha miezi mitano,ili nifaidi uhondo!!" hii ni kwa mujibu wako lknHa ha ha soma,elewa kwanza,azam na star times kuna channel nyingi zaidi ya Wasafi Tv,so nawatch channel nyingine zaidi ya hiyo!!
Unapaswa kuvalishwa sketi...Mwishini mwa mwezi wa saba,dunia kama sio Tanzania,tulipata ujumbe kutoka kwa Diamond kwamba kutakua na Birthday party ya mwanae Latifa huko bondeni kwa Madiba!! Party itakua live kupitia channel ya Wasafi tv,bila kupoteza muda haraka nikalipa kifurushi cha miezi mitano,ili nifaidi uhondo!!
Pia akaja na wako kwamba atalipia watoto 30,gharama za kwenda kula bata la nguvu na mtoto mwenzao Latifa,nikasema kumbe mambo ni vipi moto!! Pia tukaambiwa kuna baadhi ya wasanii kama Madame Sepenga na Aunty Ezekiel watapata offer ya kwenda bondeni kwa gharama za Diamond!!
Sasa nauliza mbona kimya sana?? Sijaona picha za Sepenga na Aunty Ezekiel wakiwa bondeni,sijaona, watoto wakipewa tiketi za ndege za kwenda bondeni,au hii kitu ilifanyika kimya kimya??
Bado najiuliza kwa nini unapenda kutoa taarifa mapema,halafu inakuja onekana ni mtu uongo?? Bado tunafikiria fix yako ya kwenda kuimba wimbo maalum wa Welidi kapu,napo ulitupiga kamba!! Badilika punguza stunt utakuja kwama!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Mtoa Mada bhan kazingua san"bila kupoteza muda haraka nikalipa kifurushi cha miezi mitano,ili nifaidi uhondo!!" hii ni kwa mujibu wako lkn
ππππππ
Kama wewe ni msichana haina shida.
Lakini kama wewe ni mwanaume,hata kama ni wa Dar basi naomba wanaume tukutane kwaajili ya kikao cha dharura.