Mondi bana mi nilikua simkubali kabisa daaaah lakin juhudi za mshkaji ikabidi nizipigie salute tu,kiukweli jamaa anajitambua yeye ni nani na anataka kuwa nani,co kama wasanii wengine wanaishia kutupa historia tu za mambo ya zamani au eti wameshawahi kufanya nin akati era imebadilika na wadau tunataka kuona mafanikio ya wasanii tunaowasapoti,sasa kuanzia Leo mimi ni team Mondi NUKTAAAA.....