Ina tija zaid ya zile nyingine ulizoanzisha hapa hapa jukwaa la celeb, hasa zile zinazomuhusu yule jamaa ambaye mnadhan ili apande juu ni had huyu Domo ashuke. So jitihada nyingi zinafanyika kumshusha ili jamaa yenu apande

hata mimi nashangaa sana kwa nini mnataka huyo kijana wenu apande halafu Diamond anguke ? waache wote wawe juu mbona nchi za wenzetu unakuta wasanii hata 10 wote wapo juu? sasa mnataka dogo anguke ili mumcheke au? acheni ujuha
sidhani kama Diamondi alifunikwa fiesta ili kuna kundi ambalo lilijipanga kumzomea na likafanikiwa sasa hata kiba angalie kama anataka kuja juu siyo kwa mtindo huo , anatafuta bifu za wazi hakuna sababu ya kuweka scene zinazomtambulisha kwamba yeye ndiyo mfalme mara sijui anaenda kwa wazee . diamond hamkumtendea haki tena mulimuabisha mbele ya dovido ambaye ameona kwamba jamaa haungwi mkono hapa kwao. tujaribu kubadilika tuwe waungwana kama kakosea aambiwe ajirekebishe lakini si kumzomea