That dazent matter nachmanisha Angalia nyimbo za baadhi ya wasanii za mwaka Jana ad Leo baadhi bado zina 300k,400k,...bado zinatafta 1M, ss uyu aliepost cyo msaniiMbona umeandika kwamba hiyo video Ina mda mchache nimeenda kuicheck nimekuta imepostiwa toka mwezi wa kwanza