Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Inshallah...
Kwahiyo H.O.D ataanza kupiga picha akiwa ndani ya ndege?!
tutamkoma wallah hayo mapicha humu tutakimbia jukwaa....
2tamwachia jukwaa liwe lake pk yake!
Hao wanaowabebesha sembe wao wenyewe hawa jeuri hiyo sembuse huyu dogo?Kila lenye heri........
yule anaejifunza urubani sijui nae yake itakuja lini
Hao wanaowabebesha sembe wao wenyewe hawa jeuri hiyo sembuse huyu dogo?
Jaribuni kutofautisha kati ya Private jet na charter plane.

View attachment 138978
Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa i.g yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... #2014 #JusWaitAndSee #KwaniWaoWamewezaje #HadiWeUshindwe #WCB for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe, OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria
toa comment kama una nyongeza.........
Inshallah...
Kwahiyo H.O.D ataanza kupiga picha akiwa ndani ya ndege?!
tutamkoma wallah hayo mapicha humu tutakimbia jukwaa....
nitofautishie wewe
unajua kila mtu anakuwa na malengo katika maisha lakin si lazima ulipangalo litimie
but ile kind of thinking kwamba I want to do this and this ni nzuri atleast unaonekana una focus
Inshallah...
Kwahiyo H.O.D ataanza kupiga picha akiwa ndani ya ndege?!
tutamkoma wallah hayo mapicha humu tutakimbia jukwaa....
Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.
kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.