You said it all.... Uwa ninashangaa kwanini lawama watupiwe clouds wakati kuna medias kibao sijui hizo medias nyingine kazi zao ni nini....Utapeli wao ni upi?? Media zipo nyingi, vipi mnaona ni wajibu wa clouds ku-promote wasaini wadogo??? Huu ni uzwazwa, wanafanya biashara hawa siyo Charity, wanaangalia faida sawa na mfanyabiashara mwingine yeyote. No ujinga kumwandama mtu kwenye biashara zake.
Wasafi imeanzishwa, wacha hao wasaini waende huko, hayo ndiyo maendeleo
Hayo maneno machafu yako wapi?
But the only relief is thatIt's matter of time before wasafi start to exploit artists just like clouds fm did for years
If you dont believe me!
Just wait and see
[emoji1787][emoji1787]Kibamia iko zake kahama anapiga ngoma 3 tuu aje na aje remix na seduce me [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..
Hayo ndiyo maneno machafu sasaWew hujaona aliposema eti wasani wananyonywa na kufyonzwa?
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app