Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,320 Reaction score 126,970 Oct 7, 2017 #161 Huwa najitahidi na mimi niende na wakati kwa kushawishika kujua habari za kina Diamond na Zari ila kichwa changu huwa kinakataa kabisa. Amefanyaje tena nijuzeni maana sina nijualo.
Huwa najitahidi na mimi niende na wakati kwa kushawishika kujua habari za kina Diamond na Zari ila kichwa changu huwa kinakataa kabisa. Amefanyaje tena nijuzeni maana sina nijualo.
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,899 Oct 7, 2017 #162 Gentries said: Chunga kopo lako wewwee na mpumbavuu..? Kati ya Kiba na Mond nani mpumbavu? Utaolewa dogo kwa chuki zako Click to expand... Bila shaka wewe ni kichaa!. Kiba ni nani? Pumbavu!
Gentries said: Chunga kopo lako wewwee na mpumbavuu..? Kati ya Kiba na Mond nani mpumbavu? Utaolewa dogo kwa chuki zako Click to expand... Bila shaka wewe ni kichaa!. Kiba ni nani? Pumbavu!
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,556 Oct 7, 2017 #163 Beef Lasagna said: Baada ya maneno kuzagaa kwamba kwa sasa yupo na mwanamke mwingine, wakati huohuo bado anaendelea na Wema Diamondplutnamz ameamua kuweka wazi na kuandika haya kwenye page yake ya Instagram: View attachment 603029 Click to expand...
Beef Lasagna said: Baada ya maneno kuzagaa kwamba kwa sasa yupo na mwanamke mwingine, wakati huohuo bado anaendelea na Wema Diamondplutnamz ameamua kuweka wazi na kuandika haya kwenye page yake ya Instagram: View attachment 603029 Click to expand...
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,450 Reaction score 110,222 Oct 7, 2017 #164 Mamdogo Tabby mbona unanidind.ishaa Mimi situmii mashouga Tabby said: Bila shaka wewe ni kichaa!. Kiba ni nani? Pumbavu! Click to expand...
Mamdogo Tabby mbona unanidind.ishaa Mimi situmii mashouga Tabby said: Bila shaka wewe ni kichaa!. Kiba ni nani? Pumbavu! Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,393 Reaction score 196,140 Oct 8, 2017 #165 Inasikitisha sana... Cc: mahondaw
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,966 Reaction score 34,261 Oct 9, 2017 #166 Vladimirovich Putin said: Mfa maji huyo ...Zari keshamuacha ,,kaumia ,,Basi anajaribu kusema yeye ndo kaacha hahahhaahahaa Mwanamke akiwa hana njaaa njaaa Raha kweliiii Click to expand... Hapa umeniacha kidogo. Inakuaje unasema kaumia na moyo wa mtu ni kichaka?!
Vladimirovich Putin said: Mfa maji huyo ...Zari keshamuacha ,,kaumia ,,Basi anajaribu kusema yeye ndo kaacha hahahhaahahaa Mwanamke akiwa hana njaaa njaaa Raha kweliiii Click to expand... Hapa umeniacha kidogo. Inakuaje unasema kaumia na moyo wa mtu ni kichaka?!
playboy babu JF-Expert Member Joined Nov 12, 2015 Posts 2,661 Reaction score 1,581 Oct 10, 2017 #167 Ali kiba ataendelea kuheshimika daima dumu ndani na nje ya muziki
mdundo ngoma sana JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 1,002 Reaction score 957 Oct 12, 2017 #168 heradius12 said: Mange kimambi kanipiga bani kisa kumwambia aache kufatilia mambo ya diamond. Wasanii wanatafta kiki ili waendelee kutrend kwenye masiko ya watu. Click to expand... hata mimi kanipiga bani nilivyomcheki inbobo
heradius12 said: Mange kimambi kanipiga bani kisa kumwambia aache kufatilia mambo ya diamond. Wasanii wanatafta kiki ili waendelee kutrend kwenye masiko ya watu. Click to expand... hata mimi kanipiga bani nilivyomcheki inbobo