Ni tarehe 23 mwez huu 2015
Uzinduz wa kampen pale jangwani
Kijana nasibu pamoja na wasani kibao watakuwepo
Huku upande wa pili
Prof j,wagos wa kaya,sugu,nature ,msaga sumu na bongo movie wachache kama wolper na anti ezekiel watakua upande wa ukawa
We angalia tu hata watu waloitwa hapoo...wote vurugu tu hamna kitu check watu na heshima zao akina prof j,wagosi wa kaya,nature,sugu na wengne hapo kati chembe kidevu lazima ukaee!
kwani diamond nalipijipya la kujivun toka kwa vijana watafutaji..!!upande wapili haondio unagusa vijana wengi watafutaji,wanamapinduzi,wanaharakati na wenye uchungu na unyonyaji wa ccm..Diamond hawez kuwatosa waliokuwa wanambebesh unga