Hapo mm huwa sielewi, nakuuliza unauza sh ? Na wewe unaniuliza unash ? Je nikutajia ndogo sana si kwa vyovyote vile siutalazimika kusema ya kwako ambayo ulikusudia au inakulipa, sasa kuna hajagani ya kuzungushana namna hiyo? Biashara ya kiswahiliswahili !!!!!