Wakuu mie nimestuck kabisa,
Nina Blackberry 8520 yenye os ya v 5.0 na computer yenye windows 7 ultimate. nimejaribu kudownload desktop manager kutoka kwenye website ya blackberry lakini napata tatizo wa kuinstall.
ikianza tu ku-run ikifikia kwenye blackberry installshield wizard inaonesha inainstall microsoft visual c + + 2008 SP1 redisributable ikishafika hapo inatumia muda mrefu sana na kuishia kugoma.
tatizo ni nini wakuu? Msaada unahitajika