memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 259
- 167
Si mshipa huo
Bei kubwa Hiyo kulingana na chombo yenyewe. Kama utapunguza itapendeza sana
monitor kuna 50k apa
chukua hiyo pesa ipo mfuko wa shatiukiniongezea 8500 nakuachia boss
Begi gani la mgongoni lenye uwezo wa kubeba hilo dubwasha?monitor ya dell 19" ,cpu aina ya ibm,756 RAM, hard disk 20 gb,
( monitor tupu 70000/= na cpu tupu ni 60000/=) nakupa vga,power cable zote na wireless panya.linafaa sana kama huna mambo mengi kama mimi.
uzuri wa hii cpu unatia hata kwenye begi la mgongoni unaondoka.View attachment 953428View attachment 953429View attachment 953430View attachment 953431View attachment 953432View attachment 953433
nimesahau namba hiyo 0654815422 dar es salaam
oya mbona ujaonesha mbele mbaba
ela ipo mfuko wa shati
Duuu..mzeebaba! Huo mzigo ume2mika sana. Punguza bei ...70k vepe??
Punguza dharau kwenye biashara za watu, ukikaa kimya hutopungukiwa chochoteBegi gani la mgongoni lenye uwezo wa kubeba hilo dubwasha?
mbele wapi tenla mbele ndo kupo cheki vizuri