Ujue watu wanashndwa kuelewa hii biashara sis tuna company inayosimamia hiz gar changamoto kubwa ni uber wenyewe na wamiliki kukurupuka na story za mtaani bla kufanya research mtu anakuretea gari anakwambia nimesikia naweza pata Laki kwa Siku ad unachoka kabisa mda mwingine unataman kwenda wa register wao wenyewe waendeshe ata siku 2 alafu walete mrejesho ndio mkae mezan sasa muongee sasa
Mambo yamebadlika jaman gar zimekua nyingi %ya uber aishuki ipo pale pale awa wengine akina taxfy wapo vizuri lkn awana wateja na ujinga wa uber wataka kuingiz na bajaj kaz kweli kweli