Dereva daraja la II nafasi 9

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,322
Reaction score
233
From Mwananchi of 23rd June
Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero
anawataiqazta wananchi wote wenye
sifa, nafasi wazi 9 za kazi. Nafasi
hizo nl;-
Dereva Daraja II - Nafasi 1 -
Mshahara TGOS A Sifa:
• Pwve na leseni daraja la C ya
uendeshaji
• Awe na uzoefu wa kuendesha
magari kwa muda usiopungua miaka
mitatu bila kusababisha ajali
• Awe na cheti cha majaribio ya
ufundi daraja II.
Majukumu ya kazi:
• Ataendesha magari ya abiria
(watumishi) au malori
• Atahakikisha gari na vyombo vyake
vipo katika hali nzuri wakati wote na
-kufanya uchunguzi kabla na baada
ya safari iii kugundua ubovu
unaohitaji matengenezo
• Atafanya matengenezo madogo
madogo katika gari na
• Atatunza na kuandika daftari la
safari "log-book" kwa safari zote.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
SIFA ZA JUMLA:
l. Waombaji wote wawe na umri kati
ya miaka 15 - 40
Wawe wamemaliza Kidato cha Nne
au Sita
Wawe raia wa Tanzania.
Mwombaji anatakiwa kuwasilisha
maombi yake kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya,
S.L.P.263,
IFAKARA/ KILOMBERO.
maombi yaambatane na nakala ya
vyeti vya shule na vyuo parnoja na
picha 2 (passport size)
Maombl yatumwe kuanzia tarehe
23/06/2014 na mwisho wa kupokea
maombi rn tarehe 11/07/2014 saa
9.30 alasiri.
Azimina Mbilinyi
Mkurugenzi Mtendaji wilaya
KILOMBERO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…