Mshahara bei gani?Natafuta Dereva
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.
Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.
Tutafutane.
Nipo mkuu,naishi hapa kawe ukwamami hapa.Natafuta Dereva
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.
Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.
Tutafutane.
mcheki uyu kwa namba hii +255 719 907 542...anaitwa Joseph na anaishi Kigamboni. Yuko flexible na atakufaa sana tena sana maana nishawahi kufanya nae kazi kwa miezi 4 bila tatizo lolote.Natafuta Dereva
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.
Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe zake za mjini na kumrudisha jioni.
Kuna wakati itabidi umrudishe boss usiku kwahiyo ni muhumu uwe na makazi ambayo sio mbali sana na Mbezi Beach.
Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.
Dereva wa gari ndogo tuu za usafiri.
Tutafutane.
mcheki uyu kwa namba hii +255 719 907 542...anaitwa Joseph na anaishi Kigamboni. Yuko flexible na atakufaa sana tena sana maana nishawahi kufanya nae kazi kwa miezi 4 bila tatizo lolote.
Mkuu umepata?Natafuta Dereva
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.
Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe zake za mjini na kumrudisha jioni.
Kuna wakati itabidi umrudishe boss usiku kwahiyo ni muhumu uwe na makazi ambayo sio mbali sana na Mbezi Beach.
Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.
Dereva wa gari ndogo tuu za usafiri.
Tutafutane.
Kigamboni Na Mbezi Beach wapi Na wapi?mcheki uyu kwa namba hii +255 719 907 542...anaitwa Joseph na anaishi Kigamboni. Yuko flexible na atakufaa sana tena sana maana nishawahi kufanya nae kazi kwa miezi 4 bila tatizo lolote.
0674010013 nitafute tuwasilianeNatafuta Dereva
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.
Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe zake za mjini na kumrudisha jioni.
Kuna wakati itabidi umrudishe boss usiku kwahiyo ni muhumu uwe na makazi ambayo sio mbali sana na Mbezi Beach.
Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.
Dereva wa gari ndogo tuu za usafiri.
Tutafutane.
MmmhMshahara bei gani?
Huyo boss ni me au ke?Natafuta Dereva