Demu Kuamia GETOO...

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Katikaa maisha ya Ujana kuna harakatii nyingi sanaa so kuna Kipindi unaanza kujitegemea labda Kama upo chuo au Unaanza maisha kwa Kuishi Getoo...!! Huwa kuna ishu ya Manzi kutaka kuamia GETOO kuishi na wewe pamojaa wengine hataa kukubebea Ujauzitooo... Aisee hii ni changamotoo ukicheki hali halisii ya maishaa

Tupeanee Uzoefuu Ulifanyajeee pale demu wako alipotaka Kuamiaa geto muishi wotee!????


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee akija mwache huko wee nenda sehemu ingine kwani shida iko wapi..
Wee unataka tukufundishe nini sasa
 
Washaanza kuacha kanga, mswaki na pichu eeh!
 
Mi nadhan ndo vzur maana amekuletea ukae nayo...sasa niwajib wako kumlisha na kuvisha

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Me alitaka nihamie kwake na kweli nilihamia ukicheki muda wowote naigeuza, napikiwa, nafuliwa, navimba mtoto mzuri. Mbombo ngafu mwezi wa 2 sasa moyo ulipochoka, nikaanza aga mara leo sirudi ntalala huko hukoo, kesho naenda club ntakusumbua au nitalala kwangu mpaka akaja zoea!..
Amehamia ukashindwa mwambia bebe tukae kila mtu kivyake ili nikikumiss nakufata/ukinimiss nifate au hutaki nifumania mamy?. Siasa muhimu ukifanya kama Jiwe utaharibu!.
Mwanamke ni wewe unavyomtengeneza tu!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…