Dell laptop problem

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,493
Reaction score
2,017
Vp wakuu.....?Nna laptop Dell tatizo lake haiwaki. Ukiwasha inapiga beep sound mara 5 na kuendelea kupiga tena. Nmebadili Cmos battery lakn bado. Ram na hard disk zipo poa coz nlitest kwenye mashine nyngine. Keyboard nayo ipo fresh. Kwa mwenye ufahamu anishaur nfanye nn...? Kwa sasa nipo Burundi
 

kwa yote uliyojaribu inakupasa uipeleke kwa mtaalamu unayemuamini ili afanye troubleshooting kiundani zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…