Hizo powder au spray zinazochelewesha pizz zina contain madawa ambayo huwa yanatumika kuweka ganzi kwenye operations ili kumfanya mgonjwa asisikie maumivu, so kwa ajili ya kupaka dushelele na kuchelewa kupizz maana yake ni ina reduce sensitivity,,,na ukitumia kwa muda mrefu mashine inakufa ganzi kabsa inagwa unaweza kwenda li saa lizima bila pizz,,,,,use it at your won risk.