Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa probation,wakagoma kumpatia hiyo kitita na hatimate wakaingia kufanya hiya prob bila kutoa chochote na ndipo jamaa alipoleta ngoma haikutembea na maanisha mtihani ulikuwa mgumu kama jiwe kwa kila mmoja.Hapo ndipo jamaa akaanza kuwapangia bei ili wafaulu mtihani huo na garama ya tozo inategemea utakavojieleza, wengine aliwachota 350,000/=,wako wa 250,000/= naaliye mlilia sana alitozwa 100,000/=.JE lecter kama huyu siyo jambazi? Kwanini asichuliwe hatua kali za kinidhamu maana ana dhalilisha chuo? je nyie mnashaurije kuhusu kashfa hii nzito?
ayo mambo yapo vyuoni usikatae kama halija kukuta yaliwakuta wenzako waulize ndugu zako wa muccobs si tawi la sua ilo watakwambia vizuri tena iyo muccobs ambalo ndio tawi la sua mwalimu alikutwa na kashfa ya kutengenezea watu vyeti adi mm naondoka moshi kesi ilikua mahakamani.Acha ujinga, hivi kweli inaingia akilini msomi atangaze dau la Rushwa?.
Mimi nimesoma SUA, naifahamu jamii ya watu wa pale, wanafunzi wengi ni wa kawaida sana kiuchumi, hata wakiambiwa laki mbili, inakuwa tabu!
Anyway! Ila ninachojua ni ndivyo ilivyo mwalimu anaweza kukusaidia kwenye course work tu, kwakuwa haina external examiner! Ila UE mwalimu hana mamlaka nayo kihivyo.
Unajua mshahara wa mwl wa chuo? Ila aweze kurisk kazi yake kwa ki millioni kimoja? Acha upuuzi, acha kupoteza muda kwa kuwachafua waalimu wako.
Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba rushwa ya 1000,000/=Tsh kwa wale waliofeli mtihani wa chuo (UE) ili awatoe wakati wa probation,wakagoma kumpatia hiyo kitita na hatimate wakaingia kufanya hiya prob bila kutoa chochote na ndipo jamaa alipoleta ngoma haikutembea na maanisha mtihani ulikuwa mgumu kama jiwe kwa kila mmoja.Hapo ndipo jamaa akaanza kuwapangia bei ili wafaulu mtihani huo na garama ya tozo inategemea utakavojieleza, wengine aliwachota 350,000/=,wako wa 250,000/= naaliye mlilia sana alitozwa 100,000/=.JE lecter kama huyu siyo jambazi? Kwanini asichuliwe hatua kali za kinidhamu maana ana dhalilisha chuo? je nyie mnashaurije kuhusu kashfa hii nzito?
Tumia akili ndugu yangu watu mnaangaika kusoma pamoja na kulipa ada na michango mbalimbali,alafu kunawatu wanapewa vyeti kirahisi ivi apo baadae utamconvince vipi mtu atofautishe cheti chako uliyetaabika na chuo na uyo aliyenunua simtaonekana wote walewale, apo lawama zote zitakiangukia chuo.unaongelea CHUO CHA SUA au unamwongelea lecturer,tumia akili ndugu.
unaongelea CHUO CHA SUA au unamwongelea lecturer,tumia akili ndugu.
lecturers+wanafunzi+majengo(facilities)=SUA so hapo hakuna mjadala,
Mkuu huyo mtoa mada hajui asemalo, au ameshindwa kuiweka vizuri mada yake, maana ili upate degree unatakiwa usome kozi nyingi na ufauli, kama lecturers wote wanataka rushwa unadhani hiyo laki itatosha?Tumia akili ndugu yangu watu mnaangaika kusoma pamoja na kulipa ada na michango mbalimbali,alafu kunawatu wanapewa vyeti kirahisi ivi apo baadae utamconvince vipi mtu atofautishe cheti chako uliyetaabika na chuo na uyo aliyenunua simtaonekana wote walewale, apo lawama zote zitakiangukia chuo.
Ndo maana hata top 1 00 ya vyuo vikuu bora africa hampo kwa sababu ya ubabaishaji huo,karibu sana dogo chuo bora-udsm
ww inawezekana umesoma TEKU,pole sana,karibu sana dogo UDSM upige kitabu bila wasiwasiKHAA..UNAzungumzia UDSM tena? si ndo huo uozo ulipoanzia? tena kwa upande wa rushwa ya kugegedwa wale wadada huwa wanajipeleka wenyewe,imekuwa ni kama "fashion" hivi.hapafai hata kidogo hapo usimdanganye mwenzio,bila shaka we ni mgeni maeneo hayo wakongwe tunapafahamu vizuri sana hapo wala hapatupi shida.
ww inawezekana umesoma TEKU,pole sana,karibu sana dogo UDSM upige kitabu bila wasiwasi
kwahyo umeona mm ni nmesoma masomo yako ya arts,boya tu cwez soma kozi hyo unayosoma ww,mm ni mwanasayansi tena PCB,achana mm dogoKUMBUKA KUWA HATA TEKU nacho ni chuo.na bila shaka wewe hapo chuo unasoma BA.EDUCATION IN EARLYCHILDHOOD.naona hukutan na misukosuko na umeridhika kabisa maana waalimu kwa kuridhika hamjambo.pole kwako dogo na karibu kwenye soko la ajira ukimaliza chuo japo bado una safari ndefu kwan ndo kwanza unaingia mwaka wa pili by the way,issue sio kusoma UDSM,issue ni kozi unayosoma.tehe..tehe..tehe.