Dayamond na zari doooooh

Hahahahahahaaaa vimiguu vya Dimond ni kama njiti ya kiberiti, wakati Zari ana mguu wa haja!
 
Umefurahiiiiiii basi kende

jina lako tu linasadifu upuuzi ulio nao kichwani.

jamani waacheni na maisha yao nyie inawauma nini?

mi nawashangaa baadhi ya wapuuzi kama weee tz kumponda mtu hali kodi yako, juhudi zake ndo zinamtoa huu ni wivu wa kishetani....agrryyyy nisijepata ban bureee...

watanzania hebu tubadilike basiiiii tuache kufuatilia maisha ya watu ambao hata hawali wala kutumia kodi zetu....badala ya kudeal na mafisadi akina.....**** agh..ngoja niangalie kucha zangu ntarudi kukuelimisha wewe kende
 
Last edited by a moderator:

sawa bibi
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaaa vimiguu vya Dimond ni kama njiti ya kiberiti, wakati Zari ana mguu wa haja!
Ananyanyua sana chuma kilichomzidi uwezo wake, nyama zote za chini zimekimbilia juu, akiendelea hivyo atakuwa kituko na atachukiza sana. Namshauri aje kwenye gym yangu boko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…