niaje wakuu wa matukio,asubui nyingine tena ijuma karim,nisi wachoshe hivi mtu jinsia ya k anavyo kwambia it was one day crash what does it mean?kuna girl flani kitaa amebakiza kama mienzi kaza afunge ndoa sasa ni mshikaji wangu,jana alikuwa na mgogoro na feature husband wake.issue ni hivi huyo dada alitembea na mshikaji wa karibu wa feature husband wake japo jamaa likuwa hayuko serious mda huo,saa juzi kati akaona number ya yule rafiki yake kwenye simu ya yule mdada jamaa akamuuliza ebwana we huyu mtu umemjulia wapi...dada blah blah jamaa hakuelewa akaenda direct ku mface mshikaji na kutaka kujua inakuaje maana ndo anataka kumfanya wife jamaa akamchana live bana mi nishatembea nae,basi jamaa jana karudi kamchenchia gal sana,demu ana jitetea hana mahusiano nae ya kimapenzi ilikuwa ni one day crush tena walikuwa wamekunywa.....hii kitu imenichanganya sana inakuaje kuaje hapa maana nimeshindwa hata kumshauri