Dawasco kawe station

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,457
Reaction score
699
Wafanyakazi wa Kituo cha Dawasco Kawe (hasa enginner - Eliud)
acheni kufanya ofisi ya umma kama za baba zenu, hiyo ni ofisi ya umma,
sikilizeni wateja na mtoe majibu ya kuridhisha. Cheo dhamana!!
 
Ujumbe umefika,wanaingia humu lakini wasome ulichowaambia!anyway hawa watu wa Dawasco wanafanya kazi kwa mazoea tu na hivyo serekali yao inawapa kichwa sana kama hata mkuu wa mkoa anatoka ofisini kwenda kukamata wezi wa maji mtaani!shame of Government
 
Bora uone serikali ya mkuu wa mkoa isivyo kuwa na mpango kazi, kwani Meck Sadiq ni kazi yake kutafuta wezi wa maji? Hao Dawasco wanafanya nini? Au ndio kuwaonesha kuwa wameshindwa kazi. Mh. Mrema kasema serikali IJIUZULU kushindwa kuongoza. Kikwete upoooo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…