N nginaeli Member Joined Aug 31, 2013 Posts 22 Reaction score 5 Apr 13, 2014 #1 Naumwa sana meno jamani na hii baridi ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa please ushauri wa dawa tafadhali.
Naumwa sana meno jamani na hii baridi ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa please ushauri wa dawa tafadhali.
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,206 Reaction score 1,964 Apr 13, 2014 #2 Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana. Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana. Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,057 Reaction score 137,871 Apr 13, 2014 #3 nginaeli said: naumwa sana meno jamani na hii barid ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa plz ushauri wa dawa tafadhali Click to expand... limetoboka?kesho tafuta unga wa karafuu weka kwenye jino lilitoboka litatulia.uko mkoa gani? kuna mtaalam wa tiba asili, aliniponya jino toka 2009 nipo chuo mpaka leo
nginaeli said: naumwa sana meno jamani na hii barid ndo balaa nashindwa hata kutoka ndani sitaki kungoa plz ushauri wa dawa tafadhali Click to expand... limetoboka?kesho tafuta unga wa karafuu weka kwenye jino lilitoboka litatulia.uko mkoa gani? kuna mtaalam wa tiba asili, aliniponya jino toka 2009 nipo chuo mpaka leo