David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,565
- 8,423
MMMHChukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.
Asante sana ngoja nikatumie then nitaleta feedbackChukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.
Chukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji.. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo.. Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..
After two weeks come with feedback... & 100% it will be +
Maulidi Kitenge Miaka kama minne iliyopita alikuwa ananyoa kibwenzi ila sasa ana upara wa kufa mtu.Kuna mtu anafahamu dawa ya kuzuia kipara?
Vyuma vimekaza upara nao unaanza kuja kwa spidi!!
Mwenyewe dawa naomba anisaidie aisee
We mwongo.Chukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji.. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo.. Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..
After two weeks come with feedback... & 100% it will be +
Hii comment na avatar yako zinaendana!! Lazima mtu ucheke tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We mwongo.
Potelea mbali, lkn uongo uache mkuu.Hii comment na avatar yako zinaendana!! Lazima mtu ucheke tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nitaleta mrejeshoChukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji.. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo.. Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..
After two weeks come with feedback... & 100% it will be +
Ukweli ni upi?Hii comment na avatar yako zinaendana!! Lazima mtu ucheke tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu kuna mafuta yanaitwa Castro oil unapaka na mafuta yanaitwa rosemary. Hata kama una kipara basi nywele zitaota tu. Lakini hayo mafuta nunua 100% pureKuna mtu anafahamu dawa ya kuzuia kipara?
Vyuma vimekaza upara nao unaanza kuja kwa spidi!!
Mwenyewe dawa naomba anisaidie aisee
Inaotesha kabisa.... Mi nilisha fanya hii na naendelea kufanya na nimeona matokeoNingependa kujua hio kazi ya kitunguu.
Je kinazuia nywele kung'oka au Kinaotesha nywele?
Ameandika ukweliMMMH
Kitunguu kinaotesha nywele..kinaondoa mba na kuzuia nywele kukatika na kuondoa tatizo la muwasho wa ngozi ya kichwaNingependa kujua hio kazi ya kitunguu.
Je kinazuia nywele kung'oka au Kinaotesha nywele?
Waweza tumia mafuta ya mnyonyo(castor oil)nayo yanasaidia sana..vzuri uyapate yale yanayopatikana maduka ya dawa za asiliKuna mtu anafahamu dawa ya kuzuia kipara?
Vyuma vimekaza upara nao unaanza kuja kwa spidi!!
Mwenyewe dawa naomba anisaidie aisee
Unazani kitenge anakipenda kipara?Mkuu kuna mafuta yanaitwa Castro oil unapaka na mafuta yanaitwa lavender. Hataka kama una kipara basi nywele zitaota tu. Lakini hayo mafuta nunua 100% pure