Ameshaenda na kupima kipimo cha VDRL lakini hakuambia ugonjwa, aliambiwa damu chafu na kupewa PENADU ya kuchoma kila wiki kwa wiki tatu na kufanya hivyo lakini pia huyo ndugu anatokwa jasho kwa wingi kwenye nyayo za migu na viganja vya mikono, baada ya kutumia ile penadu, ila jasho ikakata kwa muda kidogo lakini baada ya mda ile hali ikamrudia