Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,551 Reaction score 105,330 Jul 2, 2017 #61 usser said: Hapana kanisan kwetu n Maalumu kwa akina Aika,pendo,Stella, pekeake Click to expand... Kumbe ndiomaana skuizi siwaoni kanisani kwetu.......
usser said: Hapana kanisan kwetu n Maalumu kwa akina Aika,pendo,Stella, pekeake Click to expand... Kumbe ndiomaana skuizi siwaoni kanisani kwetu.......
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,167 Jul 2, 2017 #62 Delly Mandah said: tumie dawa inaitwa B,B,E,,,utapona haraka mno Click to expand... Mkuu; Wadhani hiyo ni ukurutu?? Hii ni kitu ingine kabisa. Nenda hospitali ukamwonyeshe dakitari achana na ramli za JF.
Delly Mandah said: tumie dawa inaitwa B,B,E,,,utapona haraka mno Click to expand... Mkuu; Wadhani hiyo ni ukurutu?? Hii ni kitu ingine kabisa. Nenda hospitali ukamwonyeshe dakitari achana na ramli za JF.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,552 Reaction score 21,685 Jul 2, 2017 #63 Ni Hatari zaidi ya unavyofikiri, wahi hospital mapema
P pex Member Joined Nov 20, 2009 Posts 57 Reaction score 13 Jul 2, 2017 #64 Inawezekana pia ikasababishwa na minyoo wengi tumboni. Sumu wanayotoa inasababisha ngozi kuwasha ktk baadhi ya maeneo ya mwili na ukijikuna hali ndio inakuwa hivyo
Inawezekana pia ikasababishwa na minyoo wengi tumboni. Sumu wanayotoa inasababisha ngozi kuwasha ktk baadhi ya maeneo ya mwili na ukijikuna hali ndio inakuwa hivyo
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,551 Reaction score 105,330 Jul 2, 2017 #65 tueur de lion said: Mzee bila kukuona ww na Gudume huwa nahc kama Jf bado haijakamilika,Mungu awapeni uzma na afya njema milele Click to expand... Duhh...... Kumbe na uzee huu, kuna ambao mnakosa raha nisipo onekana eeehhhh.... Amen.... Barikiwa sana comrade
tueur de lion said: Mzee bila kukuona ww na Gudume huwa nahc kama Jf bado haijakamilika,Mungu awapeni uzma na afya njema milele Click to expand... Duhh...... Kumbe na uzee huu, kuna ambao mnakosa raha nisipo onekana eeehhhh.... Amen.... Barikiwa sana comrade
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,097 Jul 2, 2017 #66 Ushimen said: Kumbe ndiomaana skuizi siwaoni kanisani kwetu....... Click to expand... Nafkir mmaomb yenu co Mubashara ndo maana Hamuwaon Wanatakaga maombi mubashara Bhana yan unawaombea Mpa wao wenyewe wanaona Hapa kweli wameombewa Mpaka mungu anawaonekania
Ushimen said: Kumbe ndiomaana skuizi siwaoni kanisani kwetu....... Click to expand... Nafkir mmaomb yenu co Mubashara ndo maana Hamuwaon Wanatakaga maombi mubashara Bhana yan unawaombea Mpa wao wenyewe wanaona Hapa kweli wameombewa Mpaka mungu anawaonekania
Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Jul 2, 2017 #67 Madr wa humu jf utafurahi
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,891 Reaction score 31,676 Jul 2, 2017 #68 Alikaeli said: Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha. View attachment 533864 Click to expand... Nikikumwagia shahawa zangu hapo pote patarudi sawa.
Alikaeli said: Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha. View attachment 533864 Click to expand... Nikikumwagia shahawa zangu hapo pote patarudi sawa.
Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,661 Jul 2, 2017 #69 Kirokonya said: Duuh! Unataka kula kwa macho Click to expand... Eee mkuu si umeona hiyo rangi
burahanthu Senior Member Joined Apr 21, 2012 Posts 143 Reaction score 38 Jul 2, 2017 #70 Hapana aende Hospital to be honest apime hata na hiv maana hiyo ni kama Herpes zoster
burahanthu Senior Member Joined Apr 21, 2012 Posts 143 Reaction score 38 Jul 2, 2017 #71 Tumia aciclovir cream na aciclovir tabs
A Alikaeli Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 169 Reaction score 194 Jul 3, 2017 Thread starter #72 Akhsante